Mshambuliaji wa timu ya Tumaini FC Azizi Mussa, akijaribu kuwatoka mabeki wa Fair Play FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 3-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu ya Magereza FC na Miyosha FC, wakiwania mpiwa wa Miyosha wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Magereza imeibuka na ushindi wa 4-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Kiungo wa Tumaini FC Chongoro Jolvin akimtoka beki wa Fair Play FC wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini iliilaza Home Boys kwa mabao 3-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Winga wa kulia wa Mbondole FC Azam Banda, akijaribu kuwatoka Mabeki wa Kigamboni FC wakati wa mchezo wao katika Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Mbondole ilishinda 4-1 Mchezo huo umepigwa jana viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa timu ya Lord Eyes FC John Gisanta, akijaribu kumtoka beki wa Kivule Forest FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest imeibuka na ushindi wa 1-0 Mchezo huo umepigwa jana viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Lord Eyes Chriss Julius akikamata mpira wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest imeibuka na ushindi wa 1-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kivule Forest, akipiga mpira kwa kichwa ambao ulikwenda mpjakwamoja wavuni nakuiandikia timu hiyo bao la ushindi wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest imeibuka na ushindi wa 1-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment