Mshambuliaji wa Kivule Forest FC Kissa kisa, akijaribu kumtoka Beki wa Azam Poly Sacks katika mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest imeibuka na ushindi wa 7-1 Mchezo huo umepigwa saa nane mchana leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest imeibuka na ushindi wa 7-1 Mchezo huo umepigwa saa nane mchana leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Azam Poly Sacks akijaribu kuufuata mpira dhidi ya mchezo wao na Kivule Forest wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest imeibuka na ushindi wa 7-1 Mchezo huo umepigwa saa nane mchana leo viwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment