Beki wa Profession FC, Juma Ngandile, akijaribu kuokoa moja na mashambulizi wakati wa mchezo dhidi ya Miyosha FC kwenye mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Miyosha iliibuka na ushindi wa 2-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Miyosha FC, Salum Ally, akijaribu kuwatoka mabeki wa Profession FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu ya Miyosha iliibuka na ushindi wa 2-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Miyosha FC, Mohamed Ramadhani akijaribu kuwaacha mabeki wa Profession FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Miyosha iliibuka na ushindi wa 2-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo
No comments:
Post a Comment