PROPHET SUGUYE CUP MAMBO NI MOTO


Beki wa Kulia wa Timu ya Texas FC Ally Bakari (mwenye mpira), akiwakabili washambuliaji wa Bodaboda Fc wakati wa mchezo wa  Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo leo. Picha na Brian Peter
Mshambuliaji Timu ya Texas FC Pascal George, akipiga tiktaka wakati wa mchezo wa  Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo timu hiyo ilikuwa ikichuana na Bodaboda Fc, ambapo katika mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo leo. Picha na Brian Peter
Golikipa wa timu ya   Texas Fc Anyimike Malakimbugi, akiokoa moja ya shambulizi yaliyofanywa na timu ya Bodaboda Fc wakati wa mchezo wa  Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule ambapo katika mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo leo. Picha na Brian Peter
Mshambuliaji machachali wa timu ya Texas Fc Rajabu Housen, akitaka kujaribu kumtoka mchezaji wa Bodaboda Fc wakati wa mchezo wa  Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule ambapo katika mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Bodaboda Fc mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo leo. Picha na Brian Peter
Beki wa Kulia wa Timu ya Texas FC Ally Bakari (mwenyempira), akijaribu kumtoka mshambuliaji wa Bodaboda Fc Samson Anesmo, wakati wa mchezo wa  Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanjavya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya DaresSalaam ambapo katika mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo leo.Picha na Brian Peter
Mchezaji wa Texas Fc Emanuel John akiwania mpira wakati wa mchezo wa  Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya DaresSalaam ambapo katika mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo leo. Picha na Brian Peter
 Kikosi cha timu ya Bodaboda FC
 Kikosi cha timu ya Texas FC
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages