Kiungo na mshambuliaji wa Stone town FC, Mpoki Jeremia, akijaribu kumtoka beki wa Relini FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Kivule Jijini Dar es Salaam ambapo Relini FC iliichapa Stone Town mabao 7-1 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Relini FC , Edga Ramsei akimtoka mchezaji wa Stone Town Mlisho Simbe Jeremia, akijaribu kumtoka beki wa Relini FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Kivule Jijini Dar es Salaam ambapo Relini FC iliichapa Stone Town mabao 7-1 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Manahodha wa timu hizo wakishikana mikono kabla ya kuanza mchezo wanaoshuhudia ni waamuzi wa mchezo huo
Wachezaji wa timu hizo wakishikana mikono na waamuzi kabla ya kuanza kwa mchezo huo.
No comments:
Post a Comment