Mshambuliaji Timu Miembeni FC James John, akijaribu kuwatoka mabeki wa Stone Town Fc, wakati wa mchezo wa Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shuleya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo timu hizo zilitoka kwa sale ya 1-1 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Beki wa Stone Town Twailu Khamis akiokoa moja ya shambulizi dhidi ya mchezo wao na Miembeni FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuri kwa kutoka sale ya 1-1 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Goli Kipa wa Stone Town Omari Fadhili akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Miembeni FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shuleya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuri kwakutoka sale ya 1-1 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Beki wa Stone Town, Omary Housen, akirudisha mpira kwakipa wake Omari Fadhili, wakati wa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Miembeni FC, kwenye mchezo wa Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanjavya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuri kwa kutoka sale ya 1-1 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa, wakati wa mchezo wa Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shuleya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo timu hizo zilitoka kwa sale ya 1-1 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment