Beki wa Stone Town, Method Mello (kulia), akiokoa moja ya shambulizi wakati wakichuana na Tumaini FC, katika mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Stone Town, Omari Fadhili akijaribu kukamata mpira dhidi ya mchezo wao na Tumaini FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Tumaini FC Njogoro Njogoro, akijaribu kufanya moja ya shambulizi wakati wakichuana na Ston Towne FC, katika mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment