Beki na Nahodha wa Kampota FC, Sajo Orden (mwenyejezi ya bluu), akijaribu kumtoka Mshambuliaji wa Texas FC, Abdallah Shabani wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Texas FC, James Mlina akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Kampota FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kampota FC Hassan Fantom, akijaribu kumtoka mchezaji wa Texas FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kampota FC, Juma Mziga akijaribu kuwatoka mabeki wa Texas FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kampota FC, Hassani Fantom, akijaribu kumtoka mchezaji wa Texas FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment