Mlinda mlango wa Relini FC, Juma Athuman, akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Airwing FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Airwing FC Mohamed Nassor, akishindwa kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Relini FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Relini FC Abuisa Moshi, akimtoka Beki wa kushoto wa Airwing FC, Yusuph Seif dhidi ya mchezo wao na Relini FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Relini FC, Steven Tiger, akirudisha mpira kwa mlinda mlango wake Juma Athuman, katika moja ya heka heka wakati wa mchezo wao na Airwing FC, katika Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanjabvya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wapenzi na Mashabiki wasoka wakiwa viwanjani kufuatilia mtanange huo
Kikosi cha Airwing FC
Kikosi cha Relini FC
No comments:
Post a Comment