Mkurugenzi Mtendaji wa DCB ashuhudia uwasilishwaji wa Bajeti ya Serikali bungeni, Dodoma

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk, Ashatu Kijaji akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kulia), bungeni Dodoma jana Mara baada ya Waziri Fedha, Dk. Philip Mpango (hayupo pichani), kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20. 
Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo (kulia), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), bungeni Dodoma jana Mara baada ya waziri wa fedha kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20. 
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), bungeni Dodoma jana mara baada ya waziri wa fedha na mipango, kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya  DCB, Geodfey Ndalahwa (kushoto), pamoja na baadhi ya waalikwa wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa bajeti ya Serikali Bungeni, Dodoma.
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages