Beki wa Lord Eyes, Ally Khalifa (kulia), akimchezea vibaya Mshambuliaji wa Magereza FC, John Magulambo wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli na kutoka sare ya bila kufungana.
Mshambuliaji wa timu ya Lord Eyes FC Budo Francis, akijaribu kupiga shuti wakati wa mchezo wao na Magereza FC, katika Mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli na kutoka sare ya bila kufungana kulia ni Mshambuliaji wa timu ya Magereza Danford Kessy.
Mshambuliaji wa Magereza FC Moses Godfrey, akimtoka Mchezaji wa Lord Eyes FC John Gisanta, wakati wa mchezo wao na Magereza FC, katika Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli na kutoka sare ya bila kufungana.
Mshambuliaji wa Magereza FC John Magulambo, akijaribu kufanya mashambulizi, wakati wa mchezo wao na Lord Eyes FC, kwenye Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli na kutoka sare ya bila kufungana.
No comments:
Post a Comment