TTCL PESA YABADILI JINA NA NEMBO SASA NI T PESA

Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL), imebadili nembo na jina la iliyokuwa TTCL Pesa na sasa kujulikana kama T Pesa baada ya Uzinduzi uliofanyika jijini Dodoma leo.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL CORPORATION), Waziri Kindamba akizungumza wakati wa uzinduzi wa Nembo ya na jina lipya la TTCL Pesa.


Meza Kuu ikifuatilia matukio wakati wa uzinduzi huo.
Meza Kuu ikifuatilia matukio wakati wa uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TTCL Corp, Omar Nundu akizungumza.
Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilaino (Sekta ya Mawasiliano), Atashasta Nditiye akizungumza wakati wa usimduzi huo. 
Meya wa Jiji la Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe akitoa neno wakati wa uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemchagua, Naghenjwa Kaboyoka
Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilaino (Sekta ya Mawasiliano), Atashasta Nditiye akiwa amezindua Nembo mpya ya T Pesa.
Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilaino (Sekta ya Mawasiliano), Atashasta Nditiye akiwa amezindua Nembo mpya ya T Pesa.


Picha mbalimbali za pamoja zikipigwa kwa makundi mbalimbali tofauti
Wananchi wakijisajili na huduma ya T Pesa.
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages