Mr Sugu na Mwenzake Aachiwa Huru Mapema Leo


Msanii wa hip-hop  nchini Mr Sugu ambae alifungwa kwa miezi sita kwa kosa la kumtukana rais ameachiwa huru leo mapema asubui, sugu amabe alitakiwa kufumngwa kwa muda wa miezi sita, imekuwa kitu cha kushangaza yeye kuachiwa hutu leo huku bado kukiwa na maulizo mengi kuhusu kuachiwa kwake huru.

Habari zinazosambaa ni kwamba Mr sugu ameachiwa huru baada ya Mh.Raisi kutoa msamaha siku ya muungano tarehe 26/4 mwaka huu na kwamba hakuwahi kuto akutokana na taratibu ambazo alitakiwa kuzifuata kabla ya kutolewa gerezani humo.

Leo asubuhi wakati viongozi wake wa Chadema wakimsubiri Sugu kutoka gerezani, waliambiwa kuwa Sugu tayari ameshatoka gerezani na walipopiga simu nyumbani waliambiwa mtu huyo ameshafika nyumbani  muda mrefu.

Ukiachana na kazi ya usanii, Mr Sugu pia ni mwanasiasa  na mbunge wa Mbeya ambapo mambo ya siaa ndio yaliyomfanya kufungwa kutokana na kumkejeli Rais wa nchini.
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages