TANGA CEMENT YAPIGA JEKI UJENZI NYUMBA ZA POLISI KILINDI


Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi Ben Lema (kulia), akikabidhi msaada  wa mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya  shs 2,139,000 kwa  Kamishna wa Polisi Mkoa  wa Tanga, Leonce Rwengazira (kushoto), iliyotolewa na kampuni hiyo  kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya Kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano  ilifanyika  kiwandani hapo Pongwe, Tanga, juzi.   Wengine  ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na wa kutoka  jeshi la polisi.
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje  wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Bi. Mtanga Noor  (kushoto), akikabidhi msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye dhamani ya  shs 2,139,000 kwa  Kamishna wa Polisi Mkoa  wa Tanga, Leonce Rwengazira (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kiwandani hapo Pongwe Tanga jana.   wengine picha ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na maofisa kutoka katika jeshi la polisi.
Mkuu wa Rasilimali watu wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Diana Malambugi(kushoto),akikabidhi msaada wa  mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya  shs 2,139,000 kwa  Kamishna wa Polisi Mkoa  wa Tanga, Leonce Rwengazira (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya Kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano imefanyika kiwandani hapo Pongwe, Tanga, juzi  wengine  ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na  kutoka jeshi la polisi.
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi Ben Lema (watatukushoto), akizungumza jambo kwa Kamishna wa Polisi Mkoa wa Tanga Leonce Rwengazira, katika hafla hiyo.
Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya  Saruji  Tanga (TCPLC), Hellen Maleko (katikati), akiongozana na Maofosa wa Polisi  baada ya makabidhiano
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages