Mkurugenzi Mtendaji wa NBC afanya ziara ya kibiashara mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Mathias Nyange akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kulia), wakati mkurugenzi huyo akifanya ziara kuangalia fursa za kibiashara katika  mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hivi karibuni.
Ofisa Mtendaji Mkuu Kampuni ya Msipazi Farms Ltd, Mohamed Salum (kushoto), akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (mbele yake), kuhusu utendaji kazi wa moja ya mashine za kilimo katika shamba lao, alipotembelea shamba huko, mkoani Rukwa akiwa katika ziara yake ya kibiashara kwenye Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hivi karibuni
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa benkio hiyo Tawi la Tunduma hivi karibuni, wakati akihitimisha ziara yake ya kibiashara aliyoifanya katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (katikati, aliyekaa), akipozi kwa picha ya kumbukumbu na wafanyakazi wa benki hiyo Tawi la Tunduma wakati mkurugenzi huyo akifanya ziara katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (wa tano kulia), akipozi kwa picha ya kumbukumbu na wafanyakazi wa benki hiyo Tawi la Sumbawanga wakati mkurugenzi huyo akifanya ziara katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hivi karibuni.
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages