Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa (kushoto), akishikana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi wakati akipokea msaada wa pikipiki saba zilizotolewa na Benki ya NBC zitakazotolewa kama motisha kwa askari wa ngazi za chini wa jeshi hilo wanaotekeleza kwa ufanisi majuku yao ya kila siku. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa (kushoto), akizungumza kabla ya kupokea msaada wa pikipiki saba zilizotolewa na Benki ya NBC zitakazotolewa kama motisha kwa askari wa ngazi za chini wa jeshi hilo wanaotekeleza kwa ufanisi majuku yao ya kila siku. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kukabidhi pikipiki saba kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa zitakazotolewa kama motisha kwa askari wa ngazi za chini wa jeshi hilo wanaotekeleza kwa ufanisi majuku yao ya kila siku. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa wa tano (kushoto), akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi mara baada ya kupokea msaada wa pikipiki saba zilizotolewa na benki hiyo zitakazotolewa kama motisha kwa askari wa ngazi za chini wa jeshi hilo wanaotekeleza kwa ufanisi majuku yao ya kila siku. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni baadhi ya maofisa wa ngazi za juu wa NBC na kutoka jeshi la polisi walishuhudia makabidhiano hayo.
No comments:
Post a Comment