Mshindi Kampeni ya Akaunti ya Malengo Kanda ya Dodoma akabidhiwa gari lake
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Bilinith Mahenge akikabidhi funguo na kadi ya
gari jipya aina ya Suzuki carry ‘Kirikuu’ kwa mmoja wa washindi wa
kampeni ya akaunti ya Malengo ya Benki ya NBC, Patrick Bartholomeo
Mgimwa (wa pili kushoto), katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma jana.
Wengine kutoka kushoto ni Meneja Mahusiano Sekta ya Umma na Taasisi, Pascass Mhindi, Mkuu wa Bidhaa za Wateja Rejareja wa NBC, Andrew Lyimo na Meneja wa NBC Kanda ya Morogoro, James Ndimbo.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Dk, Bilinith Mahenge(katikati), akihojiwa na
waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi zawadi ya gari aina ya
Suzuki Kirikuu kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya Malengo ya Benki ya
NBC, Patrick Bartholomeo Mgimwa (kulia kwake), katika hafla iliyofanyika
mjini Dodoma jana. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Mahusiano Sekta ya
Umma na Taasisi, Pascass Mhindi, Mkuu wa Bidhaa za Wateja Rejareja wa
NBC, Andrew Lyimo na Meneja wa Kanda ya Morogoro, James Ndimbo.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Dk, Bilinith Mahenge (kulia), akizungumza na maofisa
wa Benki ya NBC kabla ya kukabidhi zawadi ya gari aina ya Suzuki
Kirikuu kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC,
Patrick Bartholomeo Mgimwa (hayupo pichani), katika hafla iliyofanyika
mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto ni, Meneja wa Kanda ya Morogoro, James
Ndimbo, Meneja Mahusiano Sekta ya Umma na Taasisi, Pascass Mhindi na
Mkuu wa Bidhaa za Wateja Rejareja, Andrew Lyimo.
Mkuu
wa Bidhaa za Wateja Rejareja wa Benki ya NBC Tanzania, Andrew Lyimo
(katikati), akihojiwa na waandishi wa habari katika hafla hiyo. Kushoto
kwake ni Meneja Mahusiano Sekta ya Umma na Taasisi, Pascass Mhindi na
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Dk, Bilinith Mahenge (wa sita kulia), akipiga picha
ya kumbukumbu na wafanyakazi wa NBC Tawi la Dodoma pamoja na baadhi ya
viongozi wao baada ya kukabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa kampeni ya
akaunti ya Malengo mjini Dodoma jana.
No comments:
Post a Comment