TANZANIA COMMERCIAL BANK YAANDAA CHAKULA CHA JIONI KWA AJILI YA WATEJA WAKE MAADHIMISHO WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA

 

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Tanzania Commercial Bank ambaye ni Mkurugenzi wa Tehama Bw. Jema Msuya akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja ambapo benki hiyo pia iliandaa chakula cha jioni kwa ajili ya wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya maofisa wa Tanzania Commercial Bank pamoja na wateja wa benki hiyo wakiwa katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja.

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Tanzania Commercial Bank ambaye ni Mkurugenzi wa Tehama Bw. Jema Msuya (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa benki hiyo wakati wa chakula jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja. 



Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages