TANZANIA COMMERCIAL BANK PLC YAZINDUA TAWI JIPYA MPWAPWA DODOMA

 

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Bw. Jema Msuya (wa tatu kushoto) akikata keki wakati wa maadhimisho ya wiki ya hudima kwa mteja. Hafla hiyo iliyofanyika katika tawi jipya la benki hiyo lililozinduliwa hivi karibuni Mpwapwa mkoani Dodoma. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa benki hiyo Edmund Mndolwa, Meneja wa Tawi hilo pamoja na wateja.

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Bw. Jema Msuya akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo lililozinduliwa hivi karibuni Mpwapwa mkoani Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Kaimu kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Abdallah Shaib.

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Bw. Jema Msuya pamoja na maafisa wengine wa benki hiyo wakifurahia mara baada ya kuzindua tawi jipya la benki hiyo lililozinduliwa hivi karibuni Mpwapwa mkoani Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Kaimu kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Abdallah Shaib.

Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages