ACB BENKI YAKUMBUKA WATEJA WAKE YAZINDUA WIKI YA MTEJA KWAKUTOA ZAWADI

Mteja wa Benki ya ACB, Tawi la Tegeta Jude Lymo, akitoa neno la shukrani kwa Benki hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi wa wiki ya mteja iliyofanyika katika Tawi la Benki hiyo lililopo Tegeta  jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ACB, Dora Saria (katikati), akizungumza na wateja wa benki hiyo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja wa Benki ya ACB. Huku akiwahikikishia wateja kufanya kazi kama timu katika kufikia malengo ya kutoa huduma bora kwa kwa wateja hafla ya uzinduzi wa wiki ya mteja iliyofanyika katika Tawi la Benki hiyo lililopo Tegeta jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Benki ya ACB, Tawi la Tegeta  Godlove Ernest (wapilikulia),  akimlisha keki moja ya mteja wa Benki hiyo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja wa Benki ya ACB. Huku Ikiwahakikishia wateja kufanya kazi kama timu katika kufikia malengo ya kutoa huduma bora kwa kwa wateja wake hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika Tawi la Benki hiyo lililopo Tegeta  jijini Dar es Salaam.
Mneja wa Benki ya ACB, Tawi la Tegeta  Godlove Ernest, Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki  ACB, Dora Saria (wapili kulia) pamoja na maofisa wengine  na wateja wa Benki hiyo wakikata keki kuashiria uzinduzi rasmi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja  wa Benki ya ACB. ikihamsisha kufanya kazi kama timu katika kufikia malengo ya kutoa huduma bora kwa wateja wake hafla ya uzinduzi huo  uliyofanyika katika Tawi la Benki hiyo lililopo Tegeta  jijini Dar es Salaam.
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages