Daktari kutoka Kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance, Dk. Romana Malikusema (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa kanpuni hiyo, Dk. Maria Janja (kulia), wakimpima macho mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto yatima cha Umra Orphange Centre, Kulwa Erasto kituoni hapo Yombo Buza, Temeke, Dar es Salaam jana katikahafla ambayo Jubilee Insurance walipima afya watoto hao wakichukua vipimo kama vile malaria, wingi wa damu, uchunguzi wa meno pamoja na macho ikiwa ni sehemu ya majukumu yao ya kusaidia jamii.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Bima ya Jubilee, Angela Tungaraza (kulia) akimsaidia kupata vipimo vya damu mmoja wa watoto wa kituo cha kulela watoto yatima cha Umra Orphange Centre, Hassani Hijja katikahafla ambayo Jubilee Insurance walipima afya watoto hao wakichukua vipimo kama vile malaria, wingi wa damu, uchunguzi wa meno pamoja na macho ikiwa ni sehemu ya majukumu yao ya kusaidia jamii. Kushoto ni Mhudumu wa Afya wa Kampuni hiyo, Salha Mtinge.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa wateja wa Kampuni hiyo, Dk. Maria Janja (kulia), akimsaidia kupata vipimo vya macho mmoja wa watoto wa kituo cha Kulea watoto yatima cha Umra Orphange Centre, Hassani katikahafla ambayo Jubilee Insurance walipima afya watoto hao wakichukua vipimo kama vile malaria, wingi wa damu, uchunguzi wa meno pamoja na macho ikiwa ni sehemu ya majukumu yao ya kusaidia jamii.. Kushoto ni daktari wa kampuni hiyo, Dk. Romana Malikusema.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Bima ya Jubilee, Angela Tungaraza (katikati) akimsaidia kupata vipimo vya damu mmoja wa watoto wa kituo cha Kulea watoto yatima cha Valentine Childrens Home, Christina Lucas katika hafla ambayo Jubilee Insurance walipima afya watoto hao wakichukua vipimo kama vile malaria, wingi wa damu, uchunguzi wa meno pamoja na macho ikiwa ni sehemu ya majukumu yao ya kusaidia jamii. Kushoto ni Muhudumu wa Afya wa Kampuni hiyo, Salha Mtinge.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa wateja wa Kampuni ya Bima ya Jubilee, Dk. Maria Janja (Kulia), akimsaidia kupata vipimo vya macho mmoja wa watoto wa kituo cha Kulea watoto yatima cha Valentine Childrens Home, Maria Mateo katikahafla ambayo Jubilee Insurance walipima afya watoto hao wakichukua vipimo kama vile malaria, wingi wa damu, uchunguzi wa meno pamoja na macho ikiwa ni sehemu ya majukumu yao ya kusaidia jamii.. Kushoto ni Daktari wa Kampuni hiyo, Dk. Romana Malikusema.
No comments:
Post a Comment