
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi Ben Lema (kulia), akikabidhi msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya shs 2,139,000 kwa Kamishna wa Polisi Mkoa wa Tanga, Leonce Rwengazira (kushoto), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia...