MJASILIAMALI ELIZABETH JACKSON AINGIA KWENYE MTANANGE WA KUSAKA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO

Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo Chifu Sylvester Yaredi, leo jumatano julai 15 akikabidhi fomu ya ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi kwa Elizabeth Jackson.

BINTI MDOGO NA MJASILIAMALI 'Elizabeth Jackson' leo 15 Julai, 2020 amechukua fomu ya kutia nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.

Elizabeth amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo, Chifu Sylvester na kusema amechukua uwamuzi wakuchukua fomu ya Ubunge katika jimbo la Ubungo ili kuunga mkono juhudi za Rais wetu John Pombe Magufuli nakuleta maendeleo katika kuijenga Tanzania.
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages