VIONGOZI WA DINI YA KIISLAM WAMPONGEZA ASKOFU WA ANGLIKANA






Viongozi wa dini ya kiislam Sheik Hemed Mwakindenge ambaye ni kiongozi wa chuo cha Dini cha Hawza Imam Swadiq (A.S) kilichopo Kigogo Post Dar Es Salaam akiwa na Naibu wake Sheik Mohammed Abd, wamemtembelea Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar Es Salaam Jackson Sosthenes Jackson Ofisini kwake. kwa lengo la kumpa mkono wa pongezi na kujitambulisha.

Wakizungumza mara baada ya kukutana Viongozi hao wamesema wamemtembelea Askofu huyo kwa lengo la kumpa Mkono kwa kumpongeza kwa kushika nyazifa hiyo Muhimu ya kuwaongoza watu Kiroho na pia Kujitambulisha ili Kujenga Mahusiano Mema.
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages