Jinsi TEHAMA inaweza kupunguza uzalishaji wa kaboni na kuifikishaAfrika katika uchumi wa kijani.

 (Johannesburg, 21 Aprili 2021) Kampuni ya teknolojia ya kimataifa, Huawei inaamini kuwa teknolojia ya habari na mawasiliano au TEHAMA, ina uwezo wa kupunguza uzalishaji wa kaboni ulimwenguni kwa asilimia 20 katika muongo mmoja ujao.William Xu, ni Mkurugenzi...
Share:

Uongozi wa juu wa Benki ya DCB washuhudia mheshimiwa Rais Samia akihutubia bunge kwa mara ya kwanza mjini Dodoma wiki hii

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (mstari wa mbele, katikati) akiwa na baadhi ya wakuu wa taasisi za fedha wakisikiliza hotuba ya Mheshiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan wakati ajikihutubia bunge kwa mara ya kwanza mjini Dodoma wiki hii. Viongozi...
Share:

Benki ya Absa yatoa msaada wa wheelchairs 20 kwa wanafunzi wenye ulemavu

   Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bakari Msulwa (wa tatu kushoto), akikabidhi moja ya viti mwendo 20 (wheelchairs) kwa mtoto mwenye ulemavu, Briton Andrew vilivyotolewa msaada na Benki ya Absa Tanzania katika hafla iliyofanyika mkoani Morogoro leo. Kushoto kwake...
Share:

Huawei: Uboreshaji Wa Uwekezaji Ili Kukuza Uthibiti Wa Biashara

   Mwenyekiti wa kampuni ya Huawei Bw Eric XuKampuni ya mawasiliano ya Huawei imebainisha mkakati wake wa kuboresha akaunti yake ya uwekezaji ili kukuza uthabiti na kukabiliana na hali ya mashaka katika biashara inayoletwa na mvutano wa kijiografia, kuibuka tena...
Share:

Benki Ya Exim Yajizatiti na 'Mteja Kwanza' Utoaji Huduma Za Kidigitali.

   Benki Ya Exim Yajizatiti na  'Mteja Kwanza' Utoaji Huduma Za Kidigitali.Dar es Salaam: Aprili 18, 2021: Benki ya Exim imesisitiza kuhusu mkakati wake wa kuwekeza na kutanguliza zaidi maslahi ya wateja wake hususani katika mipango yake muhimu ikiwemo ile...
Share:

BENKI YA NBC YATINGA KIBITI YAWAPA SOMO WAJASIRIAMALI WANAWAKE

  Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Bw Gullamhussein Kifu (watatukushoto) akipokea msaada wa madawati  viti pamoja na meza 500 kwa ajili ya shule za wilaya hiyo kutoka kwa Mkurugenzi wa Wateja wa wadogo wa Benki ya NBC Bw Elibariki Masuke(wa pili kulia) msaada huo ukilenga...
Share:

BILIONI 20 KUTUMIKA KUWANUFAISHA WAKULIMA

  Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya Taifa ya Biashara NBC Elvis Ndunguru  (katikati), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutia saini mikataba kwaajili kuingia makubaliano yakufanya kazi pamoja na Benki ya Taifa ya Biashara NBC yenyelengo la  kuwawezesha...
Share:

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive