Mgombea ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na wakazi wa jimbo hilo wakati wa mkurtano wake wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya #EPZA exteno jijini Dar es Salaam
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Squzer akifanyua mambo yake wakati wa uzinduzi wa kampeni jimbo la ubungo
Msanii mahili wa bongo fleva Peter Msechu akifanya yake
Baadhi ya waliotia nia kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ubungo wakiserebuka pamoja na Prof. Kitila Mkumbo ambae ndio mteule wakuwakilisha jimbo hilo kuonesha ishara ya upendo na kumuahidi kuwa watakuwa nae bega kwa bega kuhakikisha anashinda ubunge jimbo la ubungo
No comments:
Post a Comment