
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akionyesha tuzo ya udhamini mkuu wa maonesho ya 44 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam, mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali, katika hafla ya ufungaji...