
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Tanga Cement, Lau Masha (wa nne lushoto), alizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Reinhardt Swart na baadhi ya wajumbe...