WAFANYAKAZI WAPYA BODI YA MAPATO ZANZIBAR WAPEWA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO


Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Joseph Abdallah Meza akifungua mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wapya wa ZRB, mafunzo hayo yamefanyika Ofisi za Mtakwimu Mazizini Mjini Zanzibar.
Wafanyakazi wapya wa ZRB wakisikiliza kwa makini hutuba ya ufunguzi iliyotolewa na Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Joseph Abdallah Meza (hayupo pichani).
Asma Khamis Hassan, ICT Officer ZRB ni miongoni mwa wafanyakazi wapya akiuliza swali wakati wa mafunzo hayo.
Mgeni rasmi Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Joseph Abdallah Meza (katikati) akipokea maswali kwa wafanyakazi  wake. Kulia ni Afisa Mahusiano wa ZRB Makame Khamis Muh’d na kushoto ni Mkurugenzi Rasilimali Watu na Uendeshaji, Mohamed Amour Mohamed.
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages