
Zanzibar, 23 Machi 2024. Benki ya Equity katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani imefuturisha wateja wake katika mji mkongwe wa Zanzibar ikiwa ni ishara ya shukurani kwa wateja na wadau wake wa karibu kwa kuendelea kuichagua benki hiyo kama benki yao pendwa.Akiongea kwenye hafla...