TP Malaika yaichabanga Airwing 2-1 Prophet Suguye Cup

Mshambuliaji wa timu ya Airwing FC Ibrahim Juma,  mwenye jezi ya bluu akijaribu kumtoka beki wa TP Malaika ya Machimbo, wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo timu ya TP Malaika imeibuka kidedea kwa kuichapa Airwing mabao 2-1.
Mshambuliaji wa timu ya Airwing FC Mussa Maulidi (kushoto), akimkabili beki wa TP Malaika ya Machimbo, wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo timu ya TP Malaika imeibuka kidedea kwa kuichapa Airwing mabao 2-1
Mshambuliaji wa timu ya TP Malaika ya machimbo Salum Machaku,  mwenye mpira akijaribu kuwatoka mabeki wa Airwing FC, wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo timu ya TP Malaika imeibuka kidedea kwakuichapa Airwing mabao 2-1.
Golikipa wa timu ya Airwing Iddi Mohamedi, akijaribu kuokoa moja ya mashambulizi wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo timu ya TP Malaika imeibuka kidedea kwa kuichapa Airwing mabao 2-1.
Nahodha na Mshambuliaji wa timu ya TP Malaika ya machimbo Candy Panya (wambele),  akiwania mpira wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo timu ya TP Malaika imeibuka kidedea kwa kuichapa Airwing mabao 2-1.
Beki wa timu ya Airwing FC Raymond Chaburu (aliepiga mpira kwa kichwa), akiokoa moja ya shambulizi wakati wa mchezo wa  ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo timu ya TP Malaika imeibuka kidedea kwa kuichapa Airwing mabao 2-1

Mashabiki waliofika kushuhudia mtanange huo.
Share:

No comments:

Post a Comment

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive

Recent Posts

Label Cloud

BIASHARA (255) BURUDANI (4) KIMATAIFA (10) KITAIFA (114) MICHEZO (38) SIASA (3)

Pages