Benki ya Absa Tanzania Yakamilisha Kampeni ya Kusisimua ya "Spend & Win" kwa Droo ya Mwisho na Hafla ya Kukabidhi Gari

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Ndabu Lilian Swere (kushoto), akihutubia hadhira wakati wa droo ya tatu ya Kampeni ya "Spend and Win" na hafla ya kukabidhi Subaru Forester kwa mshindi wa pili, Bi. Alyshah Bharwani (wa tatu kushoto), katika...
Share:

Benki ya Absa Tanzania Yashinda Tuzo 11 za Heshima Mwaka 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akizungumza na waandishi wakati akitangaza mafanikio ya benki kwa Mwaka 2024 kupitia Tuzo mbalimbali 11 ilizopata. Pamoja naye ni Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki hiyo, Bw. Aron Luhanga.• Kutambuliwa...
Share:

Benki ya Absa Tanzania yang'ara tuzo za Chaguo la Walaji

       Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanslaus Nyongo (wa tatu kushoto) akikabidhi tuzo ya Benki Bora kwa kutoa Huduma Bora rafiki za Mikopo nchini Tanzania kwa Mkurugenzi wa Sheria na Udhibiti wa Sera na Kanuni wa Benki ya...
Share:

Benki ya Absa Tanzania yashinda tuzo ya uandaaji bora wa taarifa za fedha

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Wizara ya Fedha, CPA. Benjamin Mashauri (wa pili kulia), akikabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza wa Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Fedha katika kitengo cha Mabenki yenye Ukubwa wa Kati kwa Mwaka 2023 zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi...
Share:

Absa Bank Tanzania yakabidhi Subaru Forester ya kwanza, huku ikichezesha droo ya mshindi wa pili ya Kampeni ya 'Spend & Win'

Mshindi wa kwanza wa kampeni ya Tumia na Ushinde 'Spend & Win' ya Benki ya Absa Tanzania, Bw. Rashidi Saidi (kulia) akionesha ufunguo wa gari jipya aina ya Subaru Forester 2024, muda mfupi baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Obedi Laiser (katikati),...
Share:

Absa Bank Tanzania CEO Wins Top 100 Executive List Award

Zanzibar’s Minister of State in the President’s Office for Labour, Economic Affairs, and Investment, Hon. Shariff Ali Shariff, presents the 1st runner-up award in the MD/CEO of the Year category to Absa Bank Tanzania Managing Director, Mr. Obedi Laiser (second left), during...
Share:

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto) , Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian Thomas na Mkuu wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Sezaria Kiwango wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa kisima kilichojengwa na wafanyakazi...
Share:

BENKI YA DCB KUONGEZA MTAJI WA SH BILIONI 10.7

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Masoko na Uchunguzi wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Bw. Exaut Julius (katikati), akikata utepe, kuashiria uzinduzi rasmi wa zoezi la uuzaji wa Hisa za Upendeleo za Benki ya Biashara ya DCB, jijini Dar es Salaam leo. Wa nne kushoto...
Share:

STANBIC BANK TANZANIA AND GAIN LAUNCH COHORT 7 OF THE SUPPLIER DEVELOPMENT PROGRAM FOR LOCAL SMES

Head of the Business Incubator Unit from Stanbic Bank Tanzania, Kai Mollel (second right) and the Head of Projects from the Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN), Winifrida Mayilla signing the Memorandum of Understanding (MOU) for cooperation in the training phase 7...
Share:

Benki ya Absa Tanzania yafanya uwekezaji mkubwa katika huduma za kidigitali

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Ndabu Lilian Swere (wa pili kushoto) akionyesha jina la mshindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya Tumia na Ushinde 'Spend & Win' ambapo mkazi wa Dar es Salaam Bw, Rashid Nassoro Said aliibuka kidedea kwa kujishindia...
Share:

Wafanyabiashara waipongeza serikali kushughulikia changamoto za kikodi

    Mkuu wa Kitengo cha Shughuli za Kibenki wa Benki ya Absa Tanzania, Alred Urasa (kushoto), akizungumza wakati wa mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Afrika Kusini nchini Tanzania (SABFT), uliodhaminiwa na benki hiyo, jijini Dar es Salaam jana. SABFT moja...
Share:

Rais wa Zanzibar aipongeza Benki ya Absa Tanzania kuboresha afya ya mama na mtoto

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia), akikabidhi cheti cha shukurani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser kwa kutambua mchango wa benki hiyo katika kuwezesha kampeni ya ‘Uzazi...
Share:

Tanzania Breweries Plc (TBL) na WWF Wakabidhi Mradi wa Maji Kijiji Cha Minazi mirefu, Ruvu Stesheni

   Katika hatua muhimu ya kuhakikisha upatikanaji endelevu wa maji kwa jamii za wenyeji na mazingira, Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) na WWF Tanzania wamekabidhi rasmi miundombinu ya mfumo wa maji unaotumia nishati ya jua, ikijumuisha kisima, sehemu ya...
Share:

Light Upon Light Summit in Zanzibar Set to Inspire and Unite Global Muslim Community12th & 13th October 2024.

 Zanzibar, Tanzania – The much-anticipated Light Upon Light Summit is set to take place on the beautiful island of Zanzibar on 12th and 13th October 2024. Organized by Light Upon Light (London) in collaboration with The Grand Mufti's Office of Zanzibar, this prestigious...
Share:

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

LILIAN-FAVOUR MAKAWA

Popular Posts

Blog Archive

Labels

Blog Archive