
Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Adam Mihayo (kushoto), akipata maelezo kutoka Kwa Mkurugenzi wa Mipango ya Benki hiyo Bw. Muondakweli Kaniki alipofika kuripoti rasmi nafasi ya kuongoza Benki hiyo baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano...