
Wadau wa elimu ya juu wamepongeza mpango mpya wa serikali kuvitaka vyuo vikuu na taasisi zingine za elimu ya juu nchini kuanzisha kampasi.Wakiongea wakati wa mahojiano na mwandishi huyu walisema mpango huu utawezesha upatikanaji wa wahitimu wenye ujuzi na wanaohimili ushindani...