
Madereva na abiria wa Uber nchini Tanzania watakuwa na amani zaidi wakitumia Uber, kwa kuwa Uber imetangaza kuzindua bima ya Ulinzi dhidi ya Majeraha, inayotolewa na UAP Old Mutual. Tangazo hili ni sehemu ya ahadi kuu ya Uber katika eneo la Mashariki ya Kati na Afrika (MEA)...